Thursday, 6 February 2014

JINSI YA KUCHAPA/KUPRINT FULANA(T-SHIRT) KWA KUTUMIA VIFAA VINAVYOPATIKANA KIRAHISI.

<<Na Victor Katunzi>> Uchapishaji fulana kwa kutumia Screen inaweza kuonekana ngumu, lakini katika njia ya kuchapa kwa kutumia screen nyumbani ni rahisi. uchapishaji kwa kutumia Screen ni njia nzuri ya kuchapa mashati mengi kwa aina ileile ya logo au maneno. Hizi...

Monday, 3 February 2014

Who Else Wants a Paperless Office?

  Have you truly embraced the digital age?  Today’s entrepreneurs can work from anywhere in the world. With the advent of globalization, on-the-go consumerism, and increased mobility an increase in remote working, virtual employees and multiple offices is a new workplace...

Sunday, 26 January 2014

BIOGRAPHY OF P-SQUARE

Paul and Peter Okoye, better known as P Square, have a lifestyle the stuff of dreams. The twin brothers are unlikely to look back and regret their decision to abandon football for music. At home and abroad, P Square is a hit. In 2010, the group won the Best African Act award...

Saturday, 25 January 2014

Four(4) Ways Entrepreneurs Can Stay On Top of Business Finances

It’s common knowledge that to live a long life, you need to stay healthy by exercising and watching what you eat. In the same way, the longevity of your business relies on carefully maintaining its financial health, paying attention to your cashflow and organizing your financial ...

Monday, 20 January 2014

MAMBO MUHIMU YANAYO HITAJIKA KATIKA KUANDIKA PENDEKEZO LA MRADI

 <<Na Claudio Malingumu>> 1.MALENGO NA MADHUMUNI(WAPI TUNAHITAJI KUELEKEA?) Lengo ni jambo kubwa ambalo tunakusudia kulitimiza. Madhumuni ni mambo mahususi ambayo yapo ndani ya lengo kuu ambayo tunayakusudia kuyafanya ili kuweza kufanikisha lengo ku...

Sunday, 19 January 2014

5 Simple Steps To Find the Perfect Office Space.

In most cases, launching a business from scratch requires a lot of hard work. While the majority of your time will be spent keeping a close eye on finances it is important to portray a professional image, especially during the early years. Whilst many entrepreneurs...

Friday, 17 January 2014

JE UMESIKIA KUHUSU HUDUMA YA FAX TO EMAIL?

Je umepata fursa ya kusikia kuhusu huduma mpya ya Fax to email?   IVT/faxtanzania.com imepewa kibali na shirika la mawasiliano TTCL kutoa huduma ya fax to email. Huduma hii itakuwezesha wewe mwenye kampuni, biashara, NGO, au shirika kupata number ya fax inayo anza...

NINI TOFAUTI KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA?

 <<Na Magreth Chonjo>> Nimekuwa nikijiuliza nini tofauti kati ya mjasiriamali na mfanyabiashara? Mara kadhaa maneno haya yamekuwa yakitumika sehemu tofauti tofauti na kupelekea wengi kufikiri kuwa yana maana sawa, lakini ukweli ni kwamba yana maana...