Monday, 2 December 2013

Fungua MODEM yako ya HUAWEI mwenyewe itumie laini zote.



Kutokana na  watu wengi kuhangaika ili kuchakachua modem zao ili zitumie laini za mitandao zaidi ya moja, 
Tumeamua kutoa mwongozo huu kwenu wasomaji, fuata maelekezo kwa makini ili uweze kufanikisha zoezi hili bila MALIPO yoyote. INaMoTO inakujali....

MAELEKEZO
Bonyeza "skip AD" upande wa juu kulia wa ukurasa bc.vc wakati kubonyeza katika viungo kila ukidownload link zifuatazo hapo chini,
1. Download Universal Calculator ili tuweze kupata CODE  kutoka hapa
2. Weka namba ya IMEI kwenye "Universal Calculator na kupata FLASH CODE ambayo tutakwenda kuitumia kama PASSWORD katika hatua ya pili.
3. Download Huawei E303 firmware update kutoka hapa
4. Unzip faili na hakikisha kuwa Modem yako ni imechomekwa kwenye kompyuta na imewekwa LINE tofauti.
5. Acha wakati iki update, subiri hadi wakati utakapoulizwa PASSWORD CODE zako ulizozipata kutoka kwenye Calculator Universal Mastercode .. weka FLASH CODE...Subiri kwa takribani dakika 3  na Modem yako itafunguka moja kwa moja..

NB: MWONGOZO HUU NI KWA MODEM ZA HUAWEI TU, 
Maoni yako ni muhumu sana kwetu.........

0 comments:

Post a Comment