Thursday, 6 February 2014

JINSI YA KUCHAPA/KUPRINT FULANA(T-SHIRT) KWA KUTUMIA VIFAA VINAVYOPATIKANA KIRAHISI.


<<Na Victor Katunzi>>


Uchapishaji fulana kwa kutumia Screen inaweza kuonekana ngumu, lakini katika njia ya kuchapa kwa kutumia screen nyumbani ni rahisi. uchapishaji kwa kutumia Screen ni njia nzuri ya kuchapa mashati mengi kwa aina ileile ya logo au maneno. Hizi ndizo hatua Unazotakiwa kuzifuata kwa mtiririko ili kufanikiwa kuwa mmoja kati ya wachapaji wazuri wa Tisheti(fulana).

Mahitaji
Kitanzi/pete duara ya plastiki au mbao(Embroidery hoop) - Tumia kwa kuzingatia ukubwa unaoendana na dizaini yako. Zinaweza kupatikana katika maduka yanayouza vifaa vya upambaji kwa mikono (craft shop).
Pazia nyavu(Gauzy curtain) - Tumia pazia lenye uwazi au kitambaa chembamba. Kutumia kitambaa chenye mashimo madogo hutoa matokeo bora zaidi.
wino wa uchapishaji au rangi nyeusi ya kitambaa -Vyote hivi vinaweza kupatikana katika duka hila (Craft shop).
Rangi mpira - Angalia kwa ukosee kupaka rangi katika kona nyembana usizo tarajia. (Hii ni kwa ajili ya kujaza nafasi hasi juu ya screen). Mimi nimefanya majaribio kadhaa na kuamua kwamba rangi ya mpira hufanya kazi hii kwa bora zaidi..
Karatasi nyeupe (safi na isiyokuwa na maandishi) na rangi ya maji.
Brashi ndogo ya sponji /brashi sifongo
Kipande cha kadi ngumu au plastiki kilichochongwa Logo au maneno yanayotakiwa kuchapwa(print)
•Tisheti
Rangi maji(Watercolor) na Brashi ya kupakia rangi

Baada ya kukusanya vifaa vyako, hebu tuanze...

Kuchagua Dizaini

Kwanza, itabidi kuchagua dizaini ya unachotaka kuchapa. Buni na uchague dizaini ambayo itakuwa rahisi kwako kufuatilia juu. Miundo rahisi huchukua wino kwa urahisi  pia. Unaweza kuchora picha wewe mwenyewe, au kupata picha unayoipenda mtandaoni.

Tumia mhariri picha(image editor) kwenye kompyuta yako kwa kurekebisha ukubwa wa picha kuwa sahihi/unaohitajika. Itakuwa haja ya picha hiyo kutosha katika kitanzi chako (embroidery hoop). Printi picha hiyo katika karatasi iliyo wazi (empty paper).

Kuandaa screen yako

Nyoosha na trim screen.

Nyoosha pazia nyavu(gauzy curtain) yako juu ya kitanzi(embroidery loop)kimoja halafu juu yake weka kitanzi kingine kinacholingana kabisa na kitanzi kilichotangulia chini. Hakikisha screen yako inavutwa na kukazwa/kuwambwa vizuri. Rekebisha Panapohitajika mpaka ikaze kama kichwa cha ngoma. Kata sehemu ya nyavu iliyojitokeza/iliyozidi zaidi kwa kutumia mkasi.

Fuatiliza Dizaini(picha au neno) juu ya kitanzi chako


Kuwa makini katika kufuatiliza dizaini.

Weka kipande chako cha karatasi juu ya meza ambayo unafanyia kazi. Weka kitanzi(embroidery hoop) juu ya picha kiasi kwamba picha inaonekana katikati na anza kufuatilia. Unahitaji kufuatilia kwa penseli juujuu kiasi kwamba hakuna mabaki mengi ya risasi ya penseli yanayobaki katika screen. Hatua hii inaweza kuchukua dakika chache, kulingana na jinsi picha ilivyo rahisi. Kama unafuatilia herufi, hakikisha kufanya mistari mizuri na nyoofu.
Kufuatiliza yaweza kuwa vigumu kwa baadhi ya watu. Kama hii ni kesi, unaweza kuprint picha au dizaini yako katika karatasi ambiso na kuikata. Karatasi ambiso(Self adhesive paper) zinapatikana katika idara nyingi na maduka hila (craft shops). Weka karatasi yako iliyokatwa vizuri kwenye screen na ibane vizuri chini, Pia hakikisha kingo(edges) zake zimekatwa vizuri.

Paka rangi  mpira kwenye Screen yako

Paka rangi mpira(latex paint)  juu ya screen yako (screen hii ni imekamilika na ipo nje ya hoop baada ya mradi kukamilika)
(Katika picha hii, screen imeondolewa kutoka kwenye kitanzi/embroidery hoop baada ya mradi kukamilika . Paka rangi screen yako na embroidery hoop/kitanzi kikiwa  juu yake. )

Tumia rangi ya mpira(
latex paint) ili kufunika nafasi zote ambazo hutaki kuprint/kuchapa. Ni muhimu sana kuhakikisha kwamba unafunika nafasi zote hasi. Ili kuwa na uhakika , angalia kupitia screen katika mwanga ili kujaribu kuchunguza sehemu yoyote iliyokosewa. Kama umefuatiliza dizain yako, tumia brashi ndogo kwa ajili ya nafasi ndogo.

Acha rangi ikauke, hii inaweza kuchukua saa moja mpaka masaa matano, kutegemea na kiasi cha rangi kilichotumika. Ikishakauka, jaribu screen yako kwa kuiweka kwenye kipande wazi cha karatasi na upake rangi ya maji nyembamba(thin watercolor) juu ya screen nzima kwa kutumia brashi inayofaa. Picha itakayotokea kwenye karatasi yako ndiyo  itaonekana kwenye vazi utakalochapa. Rekebisha makosa yoyote kwa kuongeza zaidi rangi na kupima tena kabla ya kuprint/kuchapa.

Chapa/Print Fulana au nguo yako

Pakaa wino au rangi kwenye nguo (fulana au shati), kwa kutumia brashi ndogo ya sponji kwa kiasi sawa juu ya dizaini yako yote.

Weka t-shirt juu ya uso bapa kabisa (Flat surface). Ingiza kipande cha kadibodi kati ya mbele na nyuma ya shati ambapo utakuwa unachapa. Hii ni kuzuia wino kuvuja upande wa pili wa nguo yako.
Weka screen sehemu ambapo unataka kuchapa/kuprint juu ya shati. Tumia brashi sifongo yako kupakaa rangi/wino kote juu ya picha yako. Ukishamaliza kabisa, vuta taratibu screen yako kutoka juu ya nguo. Unaweza pia kutumia rangi ya kitambaa(fabric paint) katika hatua hii.

Acha wino/rangi ikauke kwa usiku mzima. Inaweza kuwa salama kufua katika 'washer' baada kukauka vizuri. Sasa una screen unayoweza kutumia kuprint/kuchapa aina hiihii ya logo tena na tena.

Nakutakia ujasiriamali wema kwa kazi bora za mikono yako.

28 comments:

  1. I would like to thank you for your nicely written post
    Signature:
    download descargar facebook and download free descargar facebook apk and baixar whatsapp , descargar whatsapp

    ReplyDelete
    Replies
    1. "
      525222a298Here are best materials for you!
      BEST VIDEO ABOUT HOW TO MAKE MONEY ONLINE:
      I found this is No1 video about how to make money online
      Hope that it help you more
      source: 12 ways to make money online in your lifetime







      Jennifer Lee Mar 21, 2018 at 7:36 PM
      LEARN FREE HOW TO MAKE MONEY ONLINE BY AFFILIATE MARKETING
      This is a free course by affilorama, the leading internet marketing academy,rated 4.7 * by 87k+ students.
      source: Free training affiliate marketing online







      John Smith Mar 23, 2018 at 8:36 PM
      LEARN HOW TO BECOME MILLIONAIRE ONLINE
      This is one of best online course about how to become millionaire online.
      It is difficult to become a millionaire, so perhaps this course is only rated 4.4*.
      source: How to become millionaire online in one year







      Juan Carlos Mar 27, 2018 at 8:36 PM
      12 SECRETS TO GET ANY GIRL TO LIKE YOU
      This is one of top secrets that help you get any girl to like you.
      Rated 4.7* by 5600+ students.
      Link: 12 secrets to get any girl to like you







      Mike Jones Mar 29, 2018 at 9:36 PM
      LEARN FREE PIANO ONLINE:
      This course is organized by LearnPianoIn30Days. This site offer 14 days free training for only $1.
      More details: $1 Trial to learn piano in 14 days







      David Smith April 1, 2018 at 10:36 PM
      13 SECRETS TO CAPTIVATE ANY MAN:
      This is one of top secrets that help you get any girl to like you.
      Rated 4.7* by 5600+ students.
      Link: 13 secrets to captivate any man







      David Hu April 2, 2018 at 10:36 PM
      LEARN FREE GUITAR ONLINE:
      This course is organized by LearnPianoIn30Days. This site offer 21 days free training for only $1.
      More details: Trial 1$ learn guitar online in 21 days







      Peter Ho April 3, 2018 at 14:36 PM
      DO YOU LOVE MAGIC?
      This is best course online about how to become a magician!
      This training course offer free trial and 60 days money back guarantee
      Link: Trial to Learn Mentalism Effects and Magic Tricks





      Jennifer Tran April 3, 2018 at 19:36 PM
      HOW TO LOSE 1 POUND OF BELLY FAT EVERY 72 HOURS?
      yes it can. Bruce Krahn and Dr. Heinrick created this program specifically for men and woman.
      The core of the program is a formula by Heinrick that is supposed to work well against belly fat and its associated health issues
      Here are link: Link: Secrets to lose 1 pound of belly fat every 72 hours





      "

      Delete
  2. Really an awesome post. I wondered by reading this blog post. Thanks a lot for posting this unique post which you have shared with us. Keep on posting like this exclusive post with us.

    Salesforce Training in Chennai

    ReplyDelete
  3. Je, wewe ni matatizo ya kifedha au unahitaji fedha haraka ya kulipa bili yako? Na unataka kuchukua hatari ya kubadilisha maisha yako mwenyewe. Jaribu na kupata ATM tupu kadi yako leo na kuwa miongoni mwa bahati ya mtu ambaye ni kunufaika na kadi hii. Kadi hii ATM ni kuweka uwezo wa Hacking katika mashine yoyote ATM popote duniani. Nina kujua kuhusu kadi hii tupu ATM wakati mimi nilikuwa kutafuta kazi online kama mwezi mmoja uliopita. Ni kweli iliyopita maisha yangu milele na sasa siwezi kusema mimi nina tajiri kwa sababu mimi ni ushahidi hai. fedha kidogo mimi kupata katika siku na kadi hii ni $ 3,000. Hata sasa na kisha kuweka kusukumia fedha katika akaunti yangu. Ingawa kadi ni kinyume cha sheria lakini hakuna hatari ya kuwa hawakupata. Ni iliyowekwa katika namna ambayo haiwezi kupatikana na pia ina mbinu ambayo inafanya kuwa vigumu kwa CCTV kamera ya kuchunguza wewe wakati wa kutumia hiyo. Kwa maelezo juu ya jinsi ya kupata yako leo mawasiliano speedhackersnetwork001@gmail.com

    ReplyDelete
  4. Are you suffering financially or do you need an urgent cash to pay your bills? And you want to take the risk of transforming your own life. Try and get your ATM blank card today and be among the lucky one's who are benefiting from this card. This ATM card is set capable of hacking into any ATM machines anywhere in the world. I have to know about this blank ATM card when I was looking for work online about a month ago. It has really changed my life forever and now I can say I'm rich because I am a living testimony. The less money I get in a day with this card is $3,000. Even now and then keep pumping money into my account. Although the card is illegal but there is no risk of being caught. It is programmed in such a way that it cannot be tracked and also has a technique that makes it impossible for the CCTV camera to detect you when using it. For details on how to get yours today contact speedhackersnetwork001@gmail.com

    ReplyDelete
  5. I just see the post i am so happy to the communication science post of information's.So I have really enjoyed and reading your blogs for these posts.Any way I’ll be replay for your great thinks and I hope you post again soon.

    web designing training in chennai
    software testing training in chennai

    ReplyDelete
  6. Wonderful blog.. Thanks for sharing informative blog.. its very useful to me.. iOS App Development Company in India

    ReplyDelete
  7. Wonderful blog.. Thanks for sharing informative blog.. its very useful to me..
    Security alarm in Chennai

    ReplyDelete
  8. This blog is having the good information. Got a creative work and this is very different one.We have to develop our creativity mind.This blog helps for this.Thank you for this blog.This is very interesting and useful.

    Self Employment Tax
    Tax Preparation Services
    Tax Accountant
    Tax Consultant
    Tax Advisor

    ReplyDelete
  9. After reading your post I understood that last week was with full of surprises and happiness for you. Congratz! Even though the website is work related, you can update small events in your life and share your happiness with us too.
    java training in annanagar | java training in chennai

    java training in marathahalli | java training in btm layout

    java training in rajaji nagar | java training in jayanagar

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  11. Excellent blog, I wish to share your post with my folks circle. It’s really helped me a lot, so keep sharing post like this

    angularjs Training in chennai
    angularjs Training in chennai

    angularjs-Training in tambaram

    angularjs-Training in sholinganallur

    ReplyDelete
  12. I have picked cheery a lot of useful clothes outdated of this amazing blog. I’d love to return greater than and over again. Thanks! 
    python online training
    python training course in chennai
    python training in jayanagar

    ReplyDelete
  13. Thanks for the informative article. This is one of the best resources I have found in quite some time. Nicely written and great info. I really cannot thank you enough for sharing.

    angularjs Training in chennai
    angularjs-Training in pune

    angularjs-Training in chennai

    angularjs Training in chennai

    angularjs-Training in tambaram

    angularjs-Training in sholinganallur

    ReplyDelete
  14. Thanks for the complement Ram priya

    ReplyDelete
  15. Thanks Aash siva, Your suggestions are well received by the team and we're preparing to give you more interesting parts on the Article.

    ReplyDelete
  16. I Got Job in my dream company with decent 12 Lacks Per Annum Salary, I have learned this world most demanding course out there in the current IT Market from the Data Science Training in Pune Providers who helped me a lot to achieve my dreams comes true. Really worth trying.

    ReplyDelete
  17. Irrespective of rankings, this will help in huge traffic generation, on your website, over time and, in turn,will steadily increase the number of potential customers for your products and services.

    java training in chennai

    java training in velachery

    aws training in chennai

    aws training in velachery

    python training in chennai

    python training in velachery

    selenium training in chennai

    selenium training in velachery

    ReplyDelete
  18. I prefer to study this kind of material. Nicely written information in this post, the quality of content is fine and the conclusion is lovely. Things are very open and intensely clear explanation of issues
    hardware and networking training in chennai

    hardware and networking training in tambaram

    xamarin training in chennai

    xamarin training in tambaram

    ios training in chennai

    ios training in tambaram

    iot training in chennai

    iot training in tambaram

    ReplyDelete