Kuna sababu
mbalimbali kwanini mtu atake kuajiri, badala ya kuajiriwa, mfano kipato kidogo
anachopata katika kazi husika, hitaji la kutaka uhuru zaidi binafsi wa kufanya
kazi, hitaji la kuweza kutoa ajira kwa wengine na zaidi sana kuweza kutumia
vema kipaji na uwezo wa kuzalisha ambao katika kazi ya sasa mtu hapati nafasi
ya kufanya hivyo.
Kujiajiri ni jambo
linalohitaji maandalizi ya muda mrefu na kuna mambo ya msingi kuyafahamu,
haiwezekani tuu , ukaacha kazi na kusema ok, acha nijiajiri.
Makala hii
inachambua mambo ya msingi ya kujiandaa na kuyafahamu kabla mtu hajaamua kuacha
kuajiriwa.
Mkakati
Wazo au ndoto isiyo na mkakati wa
kuitimiza ni upuuzi yaani ndoto hiyo au wazo hilo halina maana, hivyo basi
ndoto yako ya kujiajiri siku moja, ni lazima iwekewe mkakati wa kuifanikisha
ikiwa ni pamoja na muda hasa wa lini utaitimiza hiyo ndoto.
Katika kuweka mkakati
huu wa kutimiza ndoto yako, fanya utafiti wa kina kuhusu mipango yako binafsi
ya maisha, mtazamo wako kuhusu maisha, mpenzi/mke wako, familia yako, na hali
ya jamii kwa ujumla inavyoenda kama vile mabadiliko ya hali ya kisiasa,
teknolojia, na uchumi.
Tengeneza malengo ya
aina ya shughuli unayotaka kuifanya ukiacha kuajiriwa, na pima uwezekano wa
shughuli hiyo kufanyika kweli na kama itakulipa. Utambue pia aina ya watu na
rasilimali nyingine utakazozihitaji, na jinsi utakavyozipata.
Fedha:
Ndio, unahitaji kiasi cha fedha za
kutosha kununua vifaa na malighafi za kutengenezea bidhaa yako. Pia unahitaji
fedha za kuwalipa wafanyakazi wako, na zaidi sana , unahitaji fedha za
kuendesha maisha yako na familia yako , kwa kipindi fulani kabla ya biashara
kuanza kukulipa mshahara. Hivyo kabla haujaacha kibarua chako, hakikisha
umetengeneza bajeti ya kutosha na una akiba ya kutimiza mahitaji ya bajeti
yako. Usingependa uache kazi halafu uanze kuwa omba omba kwa rafiki na jamaa,
au uanze kujuta.
'Network':
Kumbuka katika kujiajiri kwako,
utahitaji wateja, washirika, wafanyakazi na hata washauri mbalimbali ili mambo
yako yaende vizuri. Hivyo, wakati ukiwa umeajiriwa ndio wakati wako muafaka wa
kutengeneza na kupanua wigo wako wa watu unaowafahamu na waliokaribu nawe.
Kumbuka kuendeleza
mawasiliano kwani watu hawapendi kuona wewe unataka kuwatumia tuu kisha
unawatupa. Endeleza mawasiliano walau hata kwa salamu tuu. Zaidi sana, heshimu
watu wote, hata usiowafahamu au wale unaodhani 'sio watu muhimu'.
Jenga taswira nzuri
kwa jamii kwa lugha fasaha, picha na matukio mengine, usifanye watu wakufikirie
vibaya.
Usipitwe na wakati:
Hakikisha kuwa unafuatilia taarifa za
matukio, dili na watu wanaohusiana na aina ya shughuli unayopanga kuifanya
wakati utakapojiajiri. Hii itakusaidia kupata uzoefu na kusoma alama za
nyakati, na pengine kutambua fursa nyingine zaidi.
Endelea kujifunza
zaidi kuhusu kazi yako, watu na jamii kwa ujumla kwani kujiajiri kunahitaji
uzoefu zaidi, na zaidi sana uwezo wa kupambana na changamoto nyingi ambazo
nyingine haujawahi kukutana nazo kabisa, ila taarifa za awali na kujua jinsi
mambo yanavyoenda kwa ujumla katika jamii vitakufanya ushinde changamoto.
Usipoteze maana halisi ya biashara:
Baada ya kuacha
kuajiriwa, hautarajii kuwa mtu wa ‘kuganga njaa’ yaani kufanya biashara ili
mradi tuu hela iingie, lakini haujui mwelekeo wa biashara yako upoje, na wala
hakuna mkakati wa kuikuza na kuimarisha biashara husika.
Biashara inahusu
kutimiza mahitaji ya watu, kwahiyo ili mradi utakuwa na uwezo mkubwa wa
kutimiza mahitaji ya watu, na kuendelea kuhamasisha watu zaidi kuja kwako uweze
kutimiza mahitaji yao , basi biashara itakua, na itaendelea kuwa
endelevu.
Kinyume cha hapo,
ushindani utakutoa katika biashara kwani wateja watakambilia kwa wengine.
Biashara sio tuu kupata wateja, ni vile kuweza kuendelea kupata wateja na
kuendelea kupanua biashara.
Inabidi uipende
shughuli husika unayoifanya, na uweze kutimiza mahitaji ya wateja kupitia
biashara husika.
Muda wako mwingi
utautumia katika shughuli yako mpya utakayojiajiri hivyo, kama ambavyo kazi
uliyonayo pengine ‘inakuboa’, hakikisha ajira yako binafsi ‘haikuboi’.
Tambua umuhimu wa wafanyakazi na nyenzo:
Watendaji wa
shughuli husika za biashara yako utakayoianzisha ni muhimu wawe wenye ujuzi na
uzoefu wa kutosha wa kufanya shughuli husika, na uweke mikakati ya kuwapatia
nyenzo zote muhimu za kufanyia kazi ikiwemo teknolojia na mazingira mazuri ya
kazi. Hivyo basi wakati unajiandaa kujiajiri tilia maanani hili katika bajeti
yako ya kuajiri. Usingependa wafanyakazi wao wajisikie vibaya kama vile wewe
ulivyojisikia vibaya katika ajira yako fulani (pengine ajira yako ya sasa).
Muda huu ambao umeajiriwa, ndio muda pia muafaka wa kusaka 'vipaji'- yaani watu
ambao utafanya nao kazi utakapojiajiri.
Fahamu kwamba inakuhusu wewe :
Mafanikio yako katika kujiajiri
yanategemea mambo mengi ila zaidi sana yanakutegemea wewe. Je, nini hasa sababu
yako ya kutaka kujiajiri?
Ni kweli una bidhaa
au huduma haswa ya kupeleka sokoni itakayokufanya iendeshe maisha yako na
kuiendeleza biashara husika au ni hasira tuu za jinsi bosi wako anavyokuchulia
hapo ofisini kwako, au kwakuwa mshahara uliopo sasa haukutoshi. Je, mipango
yako mingine ya maisha ipoje?
Ndoto zako za
kusoma, au kuishi sehemu tofauti tofauti, pengine mkoa mwingine tofauti na uliopo
sasa, au pengine hata nchi husika. Je, yote hayo yanaathiri vipi mipango na
mikakati yako ya kujiajiri, bila kusahau msukumo toka kwa familia yako.
Ndoto sahihi:
Ni kweli kuwa upo sahihi kufikiria au
kuota kufanya biashara kubwa na yenye mafanikio sana, lakini kumbuka mafanikio
hayaji kwa usiku mmoja, na hata kama yatakuja kwa usiku mmoja, inahitajika kazi
ya muda mrefu kuyafanya yawe endelevu.
Hivyo basi, usingoje
wakati ‘muafaka’ wa wewe kuwa na kiasi kikubwa cha fedha au kwamba ‘umeyaset’
vema mambo yote.
Anza kidogo kidogo,
kubali kufanya makosa, na tambua kuwa hata kama utafanya uchambuzi na uchunguzi
wa kutosha kuhusu soko, jamii na teknolojia, hali halisi unayoenda kukumbana
nayo inaweza kuwa tofauti na ile uliyojifunza wakati wa uchambuzi au uchunguzi
wako kwakuwa hicho unachoenda kufanya ni kipya hakikufanyiwa uchambuzi, bali
unakifanya kutokana na uchambuzi uliofanya hapo awali.
Kuna mtu mwingine
atakuja kutumia makosa au mafanikio yako kupanga mambo yake.
Kuna
sababu mbalimbali kwanini mtu atake kuajiri, badala ya kuajiriwa, mfano
kipato kidogo anachopata katika kazi husika, hitaji la kutaka uhuru
zaidi binafsi wa kufanya kazi, hitaji la kuweza kutoa ajira kwa wengine
na zaidi sana kuweza kutumia vema kipaji na uwezo wa kuzalisha ambao
katika kazi ya sasa mtu hapati nafasi ya kufanya hivyo.
Kujiajiri
ni jambo linalohitaji maandalizi ya muda mrefu na kuna mambo ya msingi
kuyafahamu, haiwezekani tuu , ukaacha kazi na kusema ok, acha nijiajiri.
Makala hii inachambua mambo ya msingi ya kujiandaa na kuyafahamu kabla mtu hajaamua kuacha kuajiriwa.
- See more at: http://mbuke.blogspot.com/2013/03/kutoka-kuajiriwa-mpaka-kujiajiri-mambo_12.html#sthash.o01GkAeS.dpuf
Kuna
sababu mbalimbali kwanini mtu atake kuajiri, badala ya kuajiriwa, mfano
kipato kidogo anachopata katika kazi husika, hitaji la kutaka uhuru
zaidi binafsi wa kufanya kazi, hitaji la kuweza kutoa ajira kwa wengine
na zaidi sana kuweza kutumia vema kipaji na uwezo wa kuzalisha ambao
katika kazi ya sasa mtu hapati nafasi ya kufanya hivyo.
Kujiajiri
ni jambo linalohitaji maandalizi ya muda mrefu na kuna mambo ya msingi
kuyafahamu, haiwezekani tuu , ukaacha kazi na kusema ok, acha nijiajiri.
Makala hii inachambua mambo ya msingi ya kujiandaa na kuyafahamu kabla mtu hajaamua kuacha kuajiriwa.
Mkakati ni muhimu: Wazo au ndoto isiyo
na mkakati wa kuitimiza ni upuuzi yaani ndoto hiyo au wazo hilo halina maana, hivyo basi ndoto yako ya
kujiajiri siku moja, ni lazima iwekewe mkakati wa kuifanikisha ikiwa ni pamoja
na muda hasa wa lini utaitimiza hiyo ndoto.
Katika kuweka mkakati huu wa
kutimiza ndoto yako, fanya utafiti wa kina kuhusu mipango yako binafsi ya
maisha, mtazamo wako kuhusu maisha, mpenzi/mke wako, familia yako, na hali ya
jamii kwa ujumla inavyoenda kama vile mabadiliko ya hali ya kisiasa,
teknolojia, na uchumi.
Tengeneza malengo ya aina ya shughuli unayotaka kuifanya
ukiacha kuajiriwa, na pima uwezekano wa shughuli hiyo kufanyika kweli na kama
itakulipa. Utambue pia aina ya watu na rasilimali nyingine utakazozihitaji, na
jinsi utakavyozipata.
Unahitaji fedha: Ndio, unahitaji kiasi
cha fedha za kutosha kununua vifaa na malighafi za kutengenezea bidhaa yako.
Pia unahitaji fedha za kuwalipa wafanyakazi wako, na zaidi sana , unahitaji
fedha za kuendesha maisha yako na familia yako , kwa kipindi fulani kabla ya
biashara kuanza kukulipa mshahara. Hivyo kabla haujaacha kibarua chako,
hakikisha umetengeneza bajeti ya kutosha na una akiba ya kutimiza mahitaji ya bajeti
yako. Usingependa uache kazi halafu uanze kuwa omba omba kwa rafiki na jamaa,
au uanze kujuta.
Network ni muhimu: Kumbuka katika
kujiajiri kwako, utahitaji wateja, washirika, wafanyakazi na hata washauri
mbalimbali ili mambo yako yaende vizuri. Hivyo, wakati ukiwa umeajiriwa ndio
wakati wako muafaka wa kutengeneza na kupanua wigo wako wa watu unaowafahamu na
waliokaribu nawe.
Kumbuka
kuendeleza mawasiliano kwani watu hawapendi kuona wewe unataka
kuwatumia tuu kisha unawatupa. Endeleza mawasiliano walau hata kwa
salamu tuu. Zaidi sana, heshimu watu wote, hata usiowafahamu au wale
unaodhani 'sio watu muhimu'.
Jenga taswira
nzuri kwa jamii kwa lugha fasaha, picha na matukio mengine, usifanye watu wakufikirie vibaya.
Usipitwe na wakati: Hakikisha kuwa
unafuatilia taarifa za matukio, dili na watu wanaohusiana na aina ya shughuli
unayopanga kuifanya wakati utakapojiajiri. Hii itakusaidia kupata uzoefu na
kusoma alama za nyakati, na pengine kutambua fursa nyingine zaidi.
Endelea
kujifunza zaidi kuhusu kazi yako, watu na jamii kwa ujumla kwani kujiajiri kunahitaji
uzoefu zaidi, na zaidi sana uwezo wa kupambana na changamoto nyingi ambazo
nyingine haujawahi kukutana nazo kabisa, ila taarifa za awali na kujua jinsi
mambo yanavyoenda kwa ujumla katika jamii vitakufanya ushinde changamoto.
Maana halisi ya biashara: Baada ya
kuacha kuajiriwa, hautarajii kuwa mtu wa ‘kuganga njaa’ yaani kufanya biashara
ili mradi tuu hela iingie, lakini haujui mwelekeo wa biashara yako upoje, na
wala hakuna mkakati wa kuikuza na kuimarisha biashara husika.
Biashara inahusu
kutimiza mahitaji ya watu, kwahiyo ili mradi utakuwa na uwezo mkubwa wa
kutimiza mahitaji ya watu, na kuendelea kuhamasisha watu zaidi kuja kwako uweze
kutimiza mahitaji yao , basi biashara itakua, na itaendelea kuwa endelevu.
Kinyume cha hapo, ushindani utakutoa katika biashara kwani wateja watakambilia
kwa wengine. Biashara sio tuu kupata wateja, ni vile kuweza kuendelea kupata
wateja na kuendelea kupanua biashara.
Inabidi uipende shughuli husika
unayoifanya, na uweze kutimiza mahitaji ya wateja kupitia biashara husika.
Muda
wako mwingi utautumia katika shughuli yako mpya utakayojiajiri hivyo, kama
ambavyo kazi uliyonayo pengine ‘inakuboa’, hakikisha ajira yako binafsi ‘haikuboi’.
Umuhimu wa wafanyakazi:
Watendaji wa
shughuli husika za biashara yako utakayoianzisha ni muhimu wawe wenye
ujuzi na
uzoefu wa kutosha wa kufanya shughuli husika, na uweke mikakati ya
kuwapatia
nyenzo zote muhimu za kufanyia kazi ikiwemo teknolojia na mazingira
mazuri ya
kazi. Hivyo basi wakati unajiandaa kujiajiri tilia maanani hili katika
bajeti
yako ya kuajiri. Usingependa wafanyakazi wao wajisikie vibaya kama vile
wewe
ulivyojisikia vibaya katika ajira yako fulani (pengine ajira yako ya
sasa). Muda huu ambao umeajiriwa, ndio muda pia muafaka wa kusaka
'vipaji'- yaani watu ambao utafanya nao kazi utakapojiajiri.
Inakuhusu wewe : Mafanikio yako katika
kujiajiri yanategemea mambo mengi ila zaidi sana yanakutegemea wewe. Je, nini
hasa sababu yako ya kutaka kujiajiri?
Ni kweli una bidhaa au huduma haswa ya
kupeleka sokoni itakayokufanya iendeshe maisha yako na kuiendeleza biashara
husika au ni hasira tuu za jinsi bosi wako anavyokuchulia hapo ofisini kwako,
au kwakuwa mshahara uliopo sasa haukutoshi. Je, mipango yako mingine ya maisha
ipoje?
Ndoto zako za kusoma, au kuishi sehemu tofauti tofauti, pengine mkoa
mwingine tofauti na uliopo sasa, au pengine hata nchi husika. Je, yote hayo
yanaathiri vipi mipango na mikakati yako ya kujiajiri, bila kusahau msukumo
toka kwa familia yako.
Ndoto sahihi: Ni kweli kuwa upo sahihi
kufikiria au kuota kufanya biashara kubwa na yenye mafanikio sana, lakini
kumbuka mafanikio hayaji kwa usiku mmoja, na hata kama yatakuja kwa usiku
mmoja, inahitajika kazi ya muda mrefu kuyafanya yawe endelevu.
Hivyo basi,
usingoje wakati ‘muafaka’ wa wewe kuwa na kiasi kikubwa cha fedha au kwamba ‘umeyaset’
vema mambo yote.
Anza kidogo kidogo, kubali kufanya makosa, na tambua kuwa hata
kama utafanya uchambuzi na uchunguzi wa kutosha kuhusu soko, jamii na
teknolojia, hali halisi unayoenda kukumbana nayo inaweza kuwa tofauti na ile
uliyojifunza wakati wa uchambuzi au uchunguzi wako kwakuwa hicho unachoenda
kufanya ni kipya hakikufanyiwa uchambuzi, bali unakifanya kutokana na uchambuzi
uliofanya hapo awali.
Kuna mtu mwingine atakuja kutumia makosa au mafanikio yako kupanga
mambo yake.
- See more at: http://mbuke.blogspot.com/2013/03/kutoka-kuajiriwa-mpaka-kujiajiri-mambo_12.html#sthash.o01GkAeS.dpufKUTOKA KUAJIRIWA MPAKA KUJIAJIRI: MAMBO 8 MUHIMU YA KUZINGATIA
Share it Please

KUTOKA KUAJIRIWA MPAKA KUJIAJIRI: MAMBO 8 MUHIMU YA KUZINGATIA

0 comments:
Post a Comment