![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcM8TwdT47JM7GqKXz3HAtpFGx0qThyphenhyphenCthOsxDAzMkKqDKkLmZNRzuvUTWo8ocFgxDNMQn4s3eI-PLlBOskfXNbGGGZRHt33yxYXKT1CN2l34fVmQ4NDbWdeH_esj4h3W7zuyIhZsxCOY/s1600/Blog.jpg)
Zifuatazo
ni jinsi ya kutengeneza blog yako kwa kampuni zinazotoa huduma hii bure:
(i) 1.Tafuta
sababu ya kuanzisha blog ,nini dhumuni la kumili hiyo blog,je mambo ya
habari,kuelezea matumizi ya bidhaa yako?matangazo,kuelezea kazi za kijamii
kampuni yako inafanya,mfuko wa jamii wa kampuni yenu,nk
(ii) 2.Tengenza barua pepe yako(e-mail-sign up) ,au kama unayo hii
hatua unakuwa haikuhusu.
(iii) 3.Tafuta kampuni
gani unapenda ikupatie huduma ya kumiliki blog yako,zipo kampuni
kadhaa,mfano,blogspot,wordpress,webs,weebly,je ungependa blog yako
iwena.blogspot.com,wordpress.com,webs.com,mfano,www.tanzaniaachievers.blogspot.com
au www.zitto.wordpress.com
(iv) 4.Baada ya kuchagua kampuni husika ,andika na
tafuta(search) neno create free blog kupitia tovuti ya www.google.com, kisha
baada ya hapo bonyeza ,na ingia kampuni
ulioichagua hapo hatua ya tatu,kasha
fuata hatua inayofuata.
(v) 5.Jaza sehemu ya kuingia kama mwingiaji mpya(sign
up),kasha jaza hatua fomu hiyo kwa hatua zote.
(vi) 6. Baada ya
hapo chagua jina la blog unataka iwe,mfano kama umechagua kampuni ya kabla
ya .blogspot.com sasa tengeneza jina la blog yako liwe mfano www.manyandahealthy.blogspot.com
nk kasha angalia upatikanaji wa hilo jina,au kuna mtu analitumia hapo utapewa
malekezo na mtandao.
(vii) 7.
Baada ya ujazaji kukamilika sasa blog yako imakamilika na unaweza chagua
template utakayo itumia kwa ajili mwonekano wa blog yako,tempelate zipo za
bure ndani ya blogspot nk lakini pia unaweza weka yako binafsi,
(viii
8. Kama hukuona inapendaza design yako sasa unaweza kuibuni upya kwa
kui-design upya tempelate upya,kasha
ingia setting kwa minajili kuweka sawa taarifa na mchanganuo mzima wa blog
yako,pia unaweza weka kuwa blog yako iwe ya binfsi au umma, nk
(ix)
9. Sasa unaweza weka taarifa kwa umma kadri unavyoweza
(x) 10. Fanya mkakati kama ni ya
umma ,uitangaze ili ianze kupata watazamaji wengi zaidi kwa kuweka link zako
kwa mitandao ya kijamii,chini ya maoni yako kwa tovuti za wengi,pia katika
barua pepe zako weka china anuani ya
blog yako ili kila anayepata barua pepe yako anaweza ingia kwa blog yako
0 comments:
Post a Comment