Friday, 17 January 2014

JE UMESIKIA KUHUSU HUDUMA YA FAX TO EMAIL?



Je umepata fursa ya kusikia kuhusu huduma mpya ya Fax to email?

 
IVT/faxtanzania.com imepewa kibali na shirika la mawasiliano TTCL kutoa huduma ya fax to email. Huduma hii itakuwezesha wewe mwenye kampuni, biashara, NGO, au shirika kupata number ya fax inayo anza na namba 0763 ambayo mtu akituma fax unaipata kama barua pepe. Huduma hii ni ya bure hauhitaji kuwa na fax mashine.



Hii ni fursa kwako wewe mjasiriamali na mfanyabiashara kuwa na fax number bila ya kuingia gharama ya kununua fax machine. pia fax yako itakufikia pale ulipo huhitaji kuwa ofisini kupokea fax. wengi wetu najua hatukuwa na fax na mara nyingi tumekuwa tukienda kwenye stationary ambayo tumezoea kwa ajili ya huduma ya fax. kwasasa suluhu imekufikia na ni huduma ya bure. changamkia!

tembelea www.faxtanzania.com kwa taarifa zaidi.

0 comments:

Post a Comment