Wednesday, 11 December 2013

Kuandika Mpango wa Biashara -Business Plan





Je unahitaji huduma ya Kuandika Mpango wa Biashara -Business Plan?

Mpango wa biashara ni maelezo ya kina ambayo inaonyesha biashara yako ilikotoka, inakokwenda, hali ya masoko, sekta, kifedha na uongozi wa biahara yako. Ni taarifa muhimu ya kuwavutia wawekezaji na watoa mikopo kama mabenki
Mambo muhimu ya kujua katika kuandika Mpangowa Biashara au – Business Plan

  1. Muhtasari wa biashara yako
  2. Historia na maelezo ya biashara yako
  3. Maelezo ya bidhaa au huduma ya biashara yako
  4. Mchanganuo wa masoko
    1. Ukubwa wa soko
    2. Mgawanyo wa soko
    3. Aina ya soko/masoko
  5. Mchanganuo wa ushindani
    1. Watoa huduma au wauza bidhaa kama yako
    2. Udhaifu wao
    3. Uwezo wao
  1. Mkakati wa utekelezaji
    1. Uongozi na usimamizi wa kazi
    2. Uchambuzi wa madhaifu, nguvu, fursa na hatari zinazokabili biashara yako
    3. Mkakati wa Uzalishaji
    4. Mkakati wa kuuza
  1. Mpango wa fedha
    1. Uchambuzi wa mahitaji ya mtaji
    2. Wapi utatoa mtaji
    3. Matumizi ya mtaji
    4. Makisio ya Mauzo
    5. Uchambuzi wa kurudisha gharama (break even analysis)
    6. Makisio ya faida au hasara
    7. Makisio ya mzunguko wa fedha katika biashara yako (cashflow)
    8. Makisio ya oanisho la mali na madeni ya biashara yako (balance sheet)
    9. Ulinganifu wa sehemu mbalimbali za biashara (business ratios)
  2. Viambatanisho.
    1. Lesseniii.
    2. Cheti cha ulipaji kodi
    3. Cheti cha usajili
    4. Taarifa mbalimbali za biashara yako ambazo hazikupata nafasi ndani ya mchanganuo huu.  nk

0 comments:

Post a Comment